Chimbuko la kanisa catholic pdf book

congratulate, very good idea suggest..

Chimbuko la kanisa catholic pdf book

Hiki ni kitabu chenye siri nzito za Freemasons na Illuminanti. Ni mpango wa Shetani kuangamiza sheria ya Mungu tangu mwanzo. Shetani amekuwa akifanya vita dhidi ya amri 10 za Mungu ambazo ndicho kipimo pekee cha utii kwa Mungu.

Katika vita hiyo, Shetani amekuwa akitumia mawakala wa aina mbalimbali kiasi cha kufanikiwa kuwadanganya mamilioni ya watu duniani nao wakaiacha sheria ya Mungu na kufuata mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. Shetani ameanzisha kanisa lake na kuweka amri 11 kinyume cha amri 10 za Mungu. Mbeleni tutaona jinsi waumini wa Shetani kwa dini la Freemasons na Illuminati wanavyotumia namba na ishara katika kazi zao duniani kiasi cha kuwapofusha watu huku wakidhani kwamba wanamuabudu Mungu wa mbinguni kumbe wanamuabudu Shetani mwenyewe.

Tunaishi katika nyakati za hatari. Majanga yameenea kila mahali. Machafuko ya kila aina yameenea ulimwenguni kote. Kuongezeka kwa machafuko haya ya asili na kisiasa yanawafanya wanadamu wawe na hofu kuhusu maisha yao ya baadae.

Inaonekana kana kwamba tupo katika ncha ya mwisho mbele yetu kukiwa na shimo kubwa tayari kuangukia shimoni. Yote haya ni dalili za mwisho wa wakati kwa wale walio na masikio ya kusikia na macho ya kuona, kwamba ulimwengu hautaendelea kwa muda mrefu ukiwa katika hali hii.

Mioyo ya watu inajawa na hofu kwa haya yanayotokea Luka Kuna vita kali inayoendelea kati ya nguvu za nuru na nguvu za giza —-vita kali kati ya Yesu na Shetani—-na matokeo yake ndiyo yanayoonekana kwa wanadamu ikiwa ni matukio hayo. Usiku umeenda sana, mchana umekaribia, basi, na tuyavue matendo ya giza, na kuzivaa silaha za nuru. Nilipokuwa nasoma unabii wa Danieli, Ezekieli, Ufunuo nk sikujua jinsi unabii huu utakavyotimia na kwamba kumbe kundi linalofanya kazi zake kwa siri kubwa ndilo linalotimiza unabii huu kwa kiasi kikubwa sana.

Mafanikio makubwa ya Shetani katika udanganyifu yamepatikana kwa njia ya kuwafanya watu wawe wajinga wa mbinu anazotumia katika kazi yake.

Wakati tunapokuwa wajinga au kuchanganyikiwa, ndipo Shetani anapotushinda na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwashinda wanaume na wanawake wengi ulimwenguni. Hivyo hatupaswi kulala usingizi na kushindwa kutambua kile kinachoendelea katika ulimwengu wa giza. Kwa nini? Mwovu anajua kwamba muda wake ni mchache na hivyo halali akiwa anafanya kazi ya kuuongoza ulimwengu kuelekea katika uangamivu wa mwisho.

Watu wa Mungu karibu watajaribiwa.Pamoja na somo hili ni vizuri kusoma somo lifuatalo bofya tu : Je, tukusanyike siku gani? Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili kupata picha kamili ya mafundisho yao.

Ilikuwa dhahiri kuwa imani ya Waadventista Wasabato ni dini ya uongo yenye mafundisho ya kupotosha mafundisho hayo yanatokana na roho za udanganyifu, ambazo mtume Paulo alisema zitajitokeza katika siku za mwisho. Kwangu mimi, ilikuwa muhimu kujifunza kitu kimoja tu kuhusu mafundisho yao ili kugundua kuwa mafundisho hayo yalikuwa uongo mtupu.

Mmoja wapo wa waasisi muhimu wa kanisa la Waadventista Wasabato mnamo miaka ya alikuwa Ellen G. Hili wazo sio tu liko kinyume na Maandiko lakini pia halina mantiki. Ni nani anaweza kuamini katika upuuzi huu ambao haujaandikwa mahala popote katika Maandiko? Jibu la hili swali ni kwamba, hili ni kazi ya roho idanganyayo ifanyayo kazi kwa nguvu kwa wanaume na wanawake walio vipofu wa ukweli na uelewa wa Injili ya Yesu Kristo. Neno la Mungu linatufundisha kwamba baada ya kufufuka kwake, Yesu Kristo aliingia Patakatifu pa Patakatifu mbinguni kwa damu yake Waebrania ,; Patakatifu pa Patakatifu ni ishara ya uwepo na utukufu wa Mungu pale anapoketi na kutawala; zaidi ya haya, Maandiko yanatufundisha kwamba watu wa Mungu waliokombolewa, wao wenyewe wana ujasiri wa Kuingia Patakatifu Pa Patakatifu kwa sababu ya damu na kafara ya Yesu Kristo Waebrania ; ,20; Kitabu cha Waebrania kinatudhihirisha kuwa ile Hema jangwani inawakilisha vitu vya kiroho vilivyopo mbinguni, na kwamba sasa Wakristo wanao uwezo wa kuingia uwepo kwenye Mungu kwa njia ya Roho Mtakatifu Waefeso Kwa nini mtu anaweza kuachana na akili na kuamini kitu ambacho kinapinga dhahiri mafundisho ya Biblia?

Jibu ni kama ifuatavyo: kulikuwa na watu katika miaka ya ambao walikuwa wanaamini kuwa Yesu atarudi duniani tarehe 22 Oktoba Hii ilitokana na tafsiri yao ya Danieli na zile siku zilizotajwa humo. Tayari hapa tunaona udanganyifu uliokuwa ukifanya kazi katika mioyo ya hawa watu kwa kufikiria kwanza wangeweza kuikokotoa siku ya kurudi kwake Bwana, wakati Bwana mwenye ameisha tuonya kabisa kuhusu mambo haya Mathayo ,44; Badala ya kutubu wengine walizidi kujidanganya ili kuhararisha tafsiri zao za Danieli sura ya 8.

Hiram Edson alikuwa miongoni wa wale waliovunjwa moyo, lakini alisema siku iliofuata, alipokuwa akikatisha katika shamba fulani alipumzika ili kusali na ilikuwa kama mbingu zilifunguka mbele yake. D Nichol, The Midnight Cry p.

Edson bila kuchelewa alishirikisha tafsiri hii wafuasi wengine ambao wote waliiona kama habari njema!Hapa watunwatakaa kimyaaa kiukweli,wote tunasherekea krismas sio,wakristo hadi,waislam ila ndio hivyo,Mimi,mwenyewe nilikuwa sisadiki Hilo,ila nafanya kwakuwa Ni,mazoea.

Ukweli nikwamba mafundisho ya kushelehekea kikukuu yakuzaliwa Yesu ya maarufu kama bithidey. Nimoja kati yayale ambayo Yesu mwenyewe alisema kuwa watatokea manabii wakisema uwongo nakufundisha mapotofu.

Chimbuko Na Upotofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato

Wengine wakisema kristo tumemuona kule. Yesu mwenyewe amefundisha vema kuwa atakapo ondoka watakuja manabii wauongo. Nazani tumekwisha kuona mambo mengi ambayo watu wamekuwa wakifundisha ambayo Yesu akuyafanya nawala hakutuambia tufanye mojawpo yamambo ya nihaya. Kuvunja amri 10 zamungu. Kuazimisha kuzaliwa kwa Yesu kristo. Kutoaidhini yakula vyakura najisi mfana ngurue nk. Ukisoma biblia kwamakini unapata kuona manabii na mitume walipata tuyatolea angalizo kaba hayajafika wajijua kuwa yatatokea tu!

Manabii walio ya ona hayo. Danieli 2. Isaya 3. Ezekieli Mitume waliyo yatazama hayo nakuyaandika 1. Mathayo 2. Marko 3. Ptro na Yohana waufunuo. Hao walijalibu kutufikishia ujumbe tusije kudanganywa Yako namengine mengi lakini katika ulimwengu wasasa tunachangamoto kubwa yakupoteza uwezo wakulielewa neno la mungu acha niseme asante napia kutufikishia uongo ambao watuwengi wanauona kuwa niukweli binafsi niekuelewa hakika mungu akubaliki amina.

Post a Comment. Tupate Twitter. Tupate Facebook. Zilizopendwa : Je, wajua kusamehe ni kutii amri ya Mungu? Tusiwe wanafiki, tusiwe waongo! Mafundisho ya Yesu kazaliwa tar Bwana Yesu amesema kwamba: " Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa ku Utawezaje kuzungumza na Mungu? Fuata haya maelekez Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika Soma Vitabu Hapa: Biblia Takatifu. Feedjit Live Blog Stats. Mafundisho ya Yesu kazaliwa tarehe 25 Disemba yametoka wapi?Kanisa ambalo Yesu mwenyewe alilianzisha kupitia mtume Petro mathayo ambaye alimfanya kuwa mwamba ambao juu yake ndipo kanisa lake limejengwa na Mamlaka ya kipapa papal Authoritative yalisimama kuliongoza kanisa lake hapa duniani….

Tukirudi katika maswali ambayo hawa wakristo wenzetu waprotestant huuliza,yapo mengi ambayo kama ukiwa hufahamu vizuri utababaika kuyajibu na utawapa mwanya kukulaghai. Biblia Takatifu ndio Biblia halisi kwa kimombo wanasema Original Bible ,Biblia hii ilijumuisha vitabu 73 tangu karne za mwanzo wa ukristo yaani vitabu vya agano la kale na agano jipya.

Kuhusu kanisa katoliki kutunga maandiko ya Biblia hapana si kweli kwamba kanisa lilitunga maandiko. Historia inaonyesha kwamba Mitume, kama ilivyokuwa kipindi cha Kristo walieneza Injili kwa kuhubiri kwanza kabla ya kuweka Imani katika maandishi.

Yasemekama kwa jumla kulikua na nyaraka na vitabu zaidi ya Kumbe Agano jipya lenye vitabu 27 tu vya ukweli vilichaguliwa katikati ya Vitabu vingi sana vilivyokuwa vimeandikwa lakini vya kupotosha Imani. Sasa kazi kubwa iliyokuwapo ni kuteua kitabu kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe katika hicho kitabu spesho Biblia na kipi kibaki kama mapokeo matakatifu, ndipo kwa kupitia mikutano mingi ya Mababa wa Kanisa na wataalamu wa maandiko Orodha kamili ikapitishwa karne ya nne, Orodha hiyo au Kanoni ilikuwa na vitabu sabini na tatu 73 na vitabu hivyo viliendelea kutumika hadi leo lakini bila kudharau maandishi yale yaliyobaki kama mapokeo matakatifu.

Biblia kwa Kiswahili na Kiingereza : Download

Kazi hii iliendeshwa na Kanisa Katoliki la Mitume lililo amua juu ya Idadi ya vitabu vya Biblia kwa mara ya kwanza mnamo Karne ya nne mwaka katika mtaguso wa Hippo. Idadi hiyo ya vitabu ndiyo itumikayo mpaka sasa. Kwa masikitiko makubwa mnamo karne ya 16 alitokea padri aliyekuwa mkatoliki aliyefahamika kama padri Martin Luther Ambaye alianza kupinga baadhi ya mafundisho katika kanisa na kuanzisha kundi lake, na ili kukidhi haja ya imani yake mpya aliamua kunyofoa na Baadhi ya vitabu katika Biblia na kubakisha vitabu kadhaa ambavyo viliendana na mafundisho yake katika agano jipya na kale, japo bado waprotestant haohao walivirudisha baadhi ya vitabu baada ya kufa kwake na mpaka sasa wana vitabu 66 katika Biblia ya kiprotestant.

Ni vyema Kwani umesema ukweli uliojikita Katika historia ya Kanisa katoliki liloanzishwa na kristo mwenyewe na kukikabidhi kwa mitume ili wahubiri habari njema duniani kote. Like Like. Asante kwa ujumbe mzuri, kweli nimejifunza vitu vingi katika maekezohapo juu kujusu bibilia takatifu na kuwa bibilia ni ya katoliki, asante sana. Ndugu yangu Samwel Mikemo nadhani hata wewe hauna tofauti sana kwani kwa jina lako unaonesha kuwa ni Mkristo japo sifahamu dhehebu lako, lakini hata wewe haujazaliwa wakati wa Yesu wala nyakati za Mitume hivyo na wewe umehadithiwa au umesoma kama ndugu aliyeleta mada hapo juu hivyo hauna haki ya kumhukumu kama aliyepotea kwani hakuna aliyekufa baada ya Yesu halafu akafufuka akarudi kusema dini au dhehebu flani ndio liko sahihi na ndio njia ya kweli ya kuifikia mbingu.

Nawe nakuomba usome maandiko yafuatayo ili ujifunze Mkristo wa kweli anatakiwa ajadili vipi hoja zake anapokutana na mawazo yanayokinzana na yake wala si kwa jazba kama ulizooonesha kama mpagani.

chimbuko la kanisa catholic pdf book

Methali ,1 Petro na 2 Wakorintho Hii Injili ya kujifanya kuwa unaijua kweli na hautaki kufundisha kwa upendo watu wengine nao wajue utachokifahamu wewe ni shida sana. Utasikia huyo kapotea … wewe una hakika gani uliko haujapotea ndugu? Samwel Andrew Mikemo Punguza jazba. Kama biblia ndio msingi wa kuingia katika ufalme wa Mungu, basi iwe ndio mahala sahihi ya kuishi maisha matakatifu, ila ukiangalia kwa ukaribu utagundua ukatoliki una mafundisho mengi ya mapokeo ambayo kimsingi, yanakiuka mafundisho yaliyomo kwenye kitabu kitakatifu.

Mimi kama mimi nashauri ili uwe mkristo safi, yaani mtahiniwa wa kwenda mbinguni basi Yesu awe kiongozi, na injili iwe silaha dhidi ya ibilisi. Lipo tatizo kubwa kwa watu kutopenda historia Na hasa inayokinzana na mawazo au alichokaririshwa bila kuwa na sababu za msingi lakini ukweli Kanisa Katoliki ndio mama au chanzo cha Makanisa mengine yote hata mtu apinge akatae hawezi kuibadilisha historia hii cha msingi ni kujaribu kuleta ubabaishaji kwenye ukweli.

You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email.

Skip to content. Share this: Twitter Facebook. Like this: Like Loading Methali ,1 Petro na 2 Wakorintho Hii Injili ya kujifanya kuwa unaijua kweli na hautaki kufundisha kwa upendo watu wengine nao wajue utachokifahamu wewe ni shida sana.

chimbuko la kanisa catholic pdf book

Lipo tatizo kubwa kwa watu kutopenda historia Na hasa inayokinzana na mawazo au alichokaririshwa bila kuwa na sababu za msingi lakini ukweli Kanisa Katoliki ndio mama au chanzo cha Makanisa mengine yote hata mtu apinge akatae hawezi kuibadilisha historia hii cha msingi ni kujaribu kuleta ubabaishaji kwenye ukweli Like Like.Monday, March 17, Hii sasa Hatari!! KANISA la Wadventista Wasabato SDA ni miongoni mwa Madhehebu yanayojulikana kuwa na msimamo mkali tangu lianzishwe miaka zaidi ya iliyopita baada ya kumeguka kutoka Dhehebu likingine la Babtist kutokana na tafauti za kiimani na kimsimamo.

Kanisa hili kwa sasa limekumbwa na Mgogoro wa kiimani baada ya kuibuka tena makundi mawili yanayotofautiana kimsimamo na kiimani moja likiwa na msimamo mkali zaidi unaotokna na mapokeo ya kale yasiyotaka mabadiliko na lingine likiwa na ule wenye msimamo wa wastani unaotaka mabadiliko.

Kutokana na tafauti hizo zilizojitokeza zimesababisha Kanisa hilo ambalo ni miongoni mwa Makanisa makubwa makongwe hapa duniani na lililokuwa likiheshimika hasa kutokana na msimamo wake huo mkali kugawanyika vipande. Kundi hilo lenye msimamo Mkali lilianzishwa na Mchungaji Nyagoryo ambaye kwa sasa ni Marehemu na mazingira ya kifo chake yanadaiwa kuwa ya utata. Katika uchunguzi uliofanywa kwa muda mrefu sasa imeoneka dhahiri na wazi kuwa tofauti iliyojitokeza ni kubwa kiasi kwamba ni vigumu kuweza kupatana na kurudiana kama ilivyokuwa awali hiyo ni kutokana na msimamo wa makundi yote mawili uliyokwisha jengeka baina yao.

Wafuasi wa Mchungaji Nyagoryo wanasema kuwa wameamua kujitenga baada ya kuona mafundisho mageni waliokuwa wakiyapinga ambayo wanayaita ya Rumi Roma yameingia kwenye kanisa hilo. Baada ya kujitenga na kuanzisha kanisa lao pamekuwapo na mkanganyiko wa majina kwani kila Dhehebu linajipa uhalali wa kujiita SDA yaani Seventh-Day Advents Church. Hata hivyo kanisa linalotambulika sasa hadi serikalini lile linalojulikana kama Seventh-Day-Adventist Association of Tanzania S.

chimbuko la kanisa catholic pdf book

Hilo jina la S. Kwa hiyo waumini waliokuwa wanahoji hivyo wakaonekana wanamsimamo mkali wasiotaka mabadiliko yanayoendana na Dunia ya sasa hivyo wakaamua kujiengua kutoka kanisa hilo kubwa na lenye kuheshimika hapa nchini kutokana na misimamo yake mikali ya kutunza sabato. Sasa wanajiita kuwa wao ndio wasabato asilia na kundi lao linadai kuchukua jina la Seventh-Day-Adventist Church yaani SDA Church, lakini kwa wasabato hili sio kundi la kwanza kujiengua kuna baadhi ya viongozi wa kanisa hilo wamewahi kutoka na kuanzisha makanisa yao.

Chanzo cha mparaganyiko huo ulioleta mpasuko hu ni baada ya mafundisho mageni kuletwa katika kanisa hilo ambayo wengine wanayaona kama ya uongo. Wazee watatu wakundi hilo linaloitwa la msimamo mkali wenyewe wakijiita wasabato wa Marejeo waliozungumza kwaniaba ya mchungaji wao Mtabi, walisema kuwa wameamua kujitenga na kanisa hilo baada ya kuona mafundisho ya uongo yameletwa kanisani humo.

Wazee hao waliyataja mafundisho makuu matano ambayo hayakuwemo awali kanisani humo na sasa yameletwa na yanafundishwa na kulifanya kanisa hilo ligawanyike katika makundi mawili ambayo walisema kuwa kamwe hayataweza kurudiana hadi yesu aje. Kwanza wanasena kuwa ni kubadilika kwa jina la Kanisa hilo kutoka SDA Church hadi kuwa Association of Tanzania na kujenga hoja kuwa kanisa hilo limejengwa juu ya mitume na manabii Waefeso 2. Wanataja kitabu cha selected massage Book UK. Madai ya kundi hilo kulalamikia jina yanapingwa vikali na upande wa pili, Mchungaji wa kanisa la Yombo Dar es Salaam, Daniel Mshora alisema wao bado wanaendelea kulitambua jina hilo la SDA, na kwamba Association linalolamikiwa na waumini ni jina la usajiri tu ambalo kila mtu anayekwenda kusajiri kampuni au tasisi yake lazima asajiri jina la kampuni na la Biashara.

Mafundisho mengine wanayoona yameingizwa kwenye kanisa hilo ni kubadilika kwa Nembo ya kanisa hilo kwani nembo ya awali ilikuwa ni Malaika watatu wenye matarumbeta wakipita juu ya ulimwengu wakitoa ujumbe wa onyo ,Nembo hiyo imeandikwa kwenye kitabu cha Salected Massege 2Book uk. Akitetea Nembo hiyo Mchungaji Mshora alisema kuwa wameamua kutumia Msalaba ambao awali walikuwa wakiupinga baada ya kubaini kuwa ndio ukombozi wao kwani hata mbinguni upo. Wasabato hao wa marejeo wanadai kuwa fundisho lingine ambalo lieingizwa kanisani ni Kukatia maisha Bima jambo ambalo wanasema maandiko yanawazuia wasabato wasijihushe na Bima kwani yesu aliposulubiwa msalabani aliwalipia,na kutaja vitabu kadhaa vinavyozuia kujihusisha na swala hilo,Test mon for the church Volume 1 Uk.

Pia wanataja kuwa mafundisho ya Liturujia kama mafundisho mengine mapya yaani mafundisho ya kukariri sala na kutoa mfano kuwa hivi karibuni wanawake wa kisabato walipokuwa kwenye Idara yao ya wanawake walikaririshwa sala kwa kutumia vifundo vya mikono. Wazee hao walisema kwa kukariri kitabu cha pambano kuu Uk 27,28 kuwa Baada ya mapambano ya muda murefu ni lazima kuwepo na utengano hatuwezi kuvumilia kuona makosa hayo mabaya yenye kuleta hatari kwa watoto wao na wajukuu yakindelea Ezek.

British surnames 1300s

Kwa upande wake kanisa la Association of Tanzania viongozi wake hawakuwa kuzumgumzia mpasuko huo hata alipofuatwa Mwenyekiti wa kanisa hilo mkoa wa mara James Machage alipiga chenga kuwa hana nafasi mwandishi aende siku nyingine alipofutwa tena hakuwa tayari kuongea kwa madai kuwa alikuwa na shughuli za kanisa. Havi karibuni nusura kwamara ya kwanza katika historia ya kanisa hilo makundi hayo yafikishane mahakamani mjini musoma ,baada ya kundi la wasabato linaloongozwa na Machage kwenda Polisi kustisha kibali cha kundi linaloongozwa na mtabi ambalo kwa sasa mkubwa wake Tanzania ni Mchungaji Nyagori ,kilichokuwa kinawaruhusu kufanya mahubiri ya wiki mbili mjini hapa ilibidi yavunjwe.

Labels: SOMA maisha yangu jinsi yalivyo jaa utata. Newer Post Older Post Home.Post a Comment. Home About Contact. Karibu ndugu msomaji katika makala hii inayo elezea kwa kina chimbuka la kiswahili, pengine umewahi kujiulizamswahili ni nani? Lahaja za kiswahili ni zipi? Au chochote kuhusu lugha Hii ashrirafu ya kiswahili. Mswahili ni nani? Ni swali ambalo ni la mjadala kwani baadhi ya wataalamu wamejaribu kulifafanua suala hili kwa mitazamo tafauti katika fasili zao mbali mbali kama zifuatazo.

Maganga, C. Massamba, D. Kwa ujumla tunaweza kusema kuwa Waswahili ni watu wa upwa wa Afrika ya Mashariki ambao lugha yao ya mawasiliano ni Kiswahili. Kwa maana hiyo Kiswahili ni lugha inayotumiwa na watu wa upwa wa Afrika Mashariki katika shughuli zao zote za mawasiliano. Baada ya kufahamu maana ya Kiswahili na Mswahili tunapaswa kufahamu vyanzo mbali mbali ambavyo tunaweza kutumia kupata historia ya Kiswahili kama ifuatavyo.

R resources for hydrologists

Kuna vyanzo kama vya kihistoria, Kiakolojia, Kijiografia, Kiisimu au Kilughawiya na vyenginevyo. Kabla ya kujadili asili ya lugha ya Kiswahili ni muhimu kufahamu maana ya neno asili.

Kwa mujibu wa Massamba na wenzakeneno asili lina maana ya jinsi kitu au jambo lilivyotokea au lilivyoanza. Kuna nadharia mbali mbali zinazozungumza juu ya asili ya Lugha ya Kiswahili kama vile Kiswahili ni Kikongo, Kiswahili ni Kiarabu, Kiswahili pijini au Krioli, Kiswahili ni Kibantu na nyenginezo.

Kuhusu nadharia ya Kiswahili ni Kikongo baadhi ya wataalamu hudai kuwa asili ya Kiswahili ni huko Kongo ambayo ni Zaire ya sasa. Dai hilo linaimarishwa na wazo jengine linalodai kwamba katika vipindi kongwe vilivyopita, kuweko sehemu ya pwani ya Afrika ya Mashariki hazikuwa zimekaliwa na watu. Kutokana na vita uchungaji na biashara, inadaiwa kuwa Wabantu walitokea sehemu za Kongo na walisambaa na kuja pwani ya Afrika Mashariki kupitia Kigoma.

Baadhi ya Wabantu hawa walipitia sehemu za Uganda wakati wa kusambaa kwao walieneza pia lugha zao ikiwemo hii ya Kiswahili Msokile Pia kuna madai kwamba Kiswahili ni Kiarabu. Madai hayo yanaambatana na hoja tatu kuu. Kwanza inadaiwa kuwa asilimia 41 ya maneno yote ya Kiswahili yanayoweza kuandikwa ni asili ya Kiarabu.

Hoja ya pili inahusu neno lenyewe la Kiswahili ambalo asili yake ni Kiarabu. Swahil wingi hutumika katika maana ya wingi. Na sababu ya tatu inayotolewa ni ile inayohusu shughuli mbali mbali zilizohusishwa sana na waarabu kama vile dini, biashara, utawala, mila na desturi. Kadhalika kuna dai linasema kuwa Kiswahili ni Krioli au Pijini. Nadharia ya pijini au Krioli hutumia kigezo cha msamiati wa Kiswahili kuonesha uhusiano uliopo kati ya Kiswahili na Kiarabu.

Inadaiwa kuwa msamiati mwingi wa Kiswahili unatoka na Kiarabu hivyo huhitimisha kuwa hapana shaka Kiarabu kimehusika katika kuzaliwa lugha ya Kiswahili. Udhaifu wa nadharia hii ni kuwa haitumii vigezo vya lugha kama vile matamshi, miundo ya maneno na muundo wa sentensi za Kiswahili Masebo na mwenzake Mbali na nadharia hizo kuna nadharia ya Kiswahili ni Kibantu.

Mtazamo huu unaamini kuwa Kiswahili ni lugha ya Kibantu na lugha za Kibantu zilikuwepo hata kabla ya kuja kwa wageni kutoka Ujerumani, Uarabuni, India, China na kwengineko. Katika mtazamo huu lugha ya Kiswahili inaingizwa katika kundi la lugha za Kibantu. Vigezo vilivyotumika kufafanua kuwa Kiswahili ni Kibantu ni pamoja na;- Msamiati, Mofolojia, Mfumo wa Sauti, Mfumo wa ngeli na mpangilio wa maneno.

Hata hivyo kila hoja ina maelezo ya kina katika kujadili kile wanachokiamini.Karibu somabiblia. Naitwa David Stamen. Hapa unaweza kusikiliza na kusoma jumbe juu ya mafundisho ya Biblia. Pia unaweza kupakua Biblia, kamusi, hadithi na nyimbo kwa Kiswahili, Kiingereza na kimaasai.

BIBLIA TAKATIFU NI KITABU CHA KIKATOLIKI

Yote ni bure. Yafahamu sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa akili katika mambo yote. Ujuzi hautoshi katika huduma. Ujuzi tu hautawatosheleza wasikilizaji. Haifai mkulima kuuza matunda yake kwa wengine pasipo kwanza yeye mwenyewe kuyala matunda ya kazi yake ili atambue kama yanafaa au la!

Kama matunda ya maisha yako hayafai, utawafundishaje wengine? Lazima mimi mwenyewe kwanza niwe ninaishi maisha ya Kristo kadiri ipasavyo. Matunda ya kiroho ambayo ni kupitia Yesu Kristo lazima yatokeze katika maisha yangu kwanza ili nisiwalishe watu wa Mungu na ujuzi tu! Hapo hamna njia ya mkato short cut katika huduma ya Bwana — au hata katika maisha ya Mkristo.

Yesu mwenyewe alijaribiwa jangwani! Hali kadhalika, lazima sisi sote tupite au kutembea katika njia ya nidhamu ya kiroho na majaribu. Tusiposhindana kwa halali, hatupewi taji.

American gods season 1 episode 2 cast

Na maisha hayo ya nidhamu ya kiroho na kimwili hayaishii baada ya muda tu, bali lazima yawe sehemu ya maisha yetu mpaka mwisho, kama Paulo alivyosema. Mtumishi wa Mungu wa dhati, anawalisha watu wa Mungu na neno la Mungu — ila ni lile neno la Mungu ambalo linatokana na uhusiano wake na Mungu!

Hafai kuwajaza watu ujuzi tu! Anahudumia kwa nguvu za Roho, na kwa Roho, sio tu kwa sababu ameshabatizwa na Roho Mtakatifu bali kwa sababu anatembea na Bwana kila siku naye anabadilishwa siku hadi siku kutokana na uhusiano wake na Mungu 2 Wakor.

Lazima huduma yetu inatokana na nidhamu ya kiroho, ya kimwili na majaribu vivyo hivyo ilivyokuwa katika maisha ya Kristo Yesu! Kwa hiyo Paulo alimwandikia Timotheo. Sisemi ni lazima muumini asubiri miaka mingi kabla ya kufanya huduma, hapana, lakini inapaswa mtumishi wa Mungu awalishe waumini na neno la Mungu litokanalo na uhusiano wake na Mungu na muda wake mbele ya Bwana!

Karibu jumbe hizi zote zimeandikwa na zimehuburiwa na mimi, David Stamen. Ninayo hakimiliki kwa zote.

Unifi security gateway config gateway json

Lakini unaweza kupakua au kucopy jumbe hizo kwa ajili ya matumizi yako ya binafsi. Lakini kama ukitaka kuchapisha, kugawa au kutolewa makala au jumbe zangu, unijulishe kabla kuhusu kusudi lako ili nijue juu ya mpango wako.


Talkis

thoughts on “Chimbuko la kanisa catholic pdf book

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top